Saturday, June 2, 2012

Yote maisha ilimradi mkono uingie kinywani

 Maisha ndivyo yalivyo, kijana akiwa anashajishughulisha katika bandari ya Bukoba
Makuli katika bandari ya Bukoba wakipakia mizingo ndani ya meli ya Mv. Victoria tayari kusafirishwa kwenda jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment