Muimbaji wa Injili Jennifer Mgendi anamalizia Filamu yake ya TEKE LA MAMA sehemu ya pili mafundisho kwa ajili ya watu wa rika zote. Filamu hiyo iko katika hatua ya mwisho sambamba na shooting ya album yake ya YESU NAKUPENDA aliyoiimba mwaka 2004. Tutategemea kusikia hivi karibuni kuhusu nia na Lengo lake kuhusu filamu na muziki wa Injili.

Pamoja na hayo, Bi. Mgendi wapenzi wako wanahoji mbona kimya kingi?