Saturday, June 23, 2012

Mwili wa Willy Edward wawasili Mugumu kuzikwa leo

Jeneza lenye mwili wa marehemu Willy Edward likiingizwa ndani baada ya kuwasili nyumbani kwao Mugumu, wilayani Seerengeti jana  usiku.
Mdogo wa marehemu Willy Edward (kushoto) akilia huku akilakiwa na ndugu yake baada ya mwili wa marehemu Willy Edward kuwasili nyumbani kwao
Baba mkubwa wa marehemu Willy Edward, Emmanuel Ongiri, akilia kwa uchungu huku akiwa amelalia jeneza lenye mwili wa mwanawe ulipowasili nyumbani kwao Mugumu, Serengeti usiku
Baadhi ndugu wa marehemu Willy Edward wakiangua kilio baada mwili kuwasili nyumbani kwao Mugumu, Serengeti

No comments:

Post a Comment