Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais Somalia Mheshimiwa Sheikh Shariff
Sheikh Ahmed leo Mei 4, 2012 kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Kilimanjaro, baada ya mgeni huyo kuhitimisha ziara yake ya siku mbili nchini.
Rais huyo wa Somalia alikuja nchini kwa mazungumzo na Mheshimiwa Rais Kikwete
ambapo alitoa shukurani zake kwa Tanzania kutokana na misaada mbalimbali ya
kibinadamu iliyopata na inayoendelea kupata pamoja na kuisemea vyema Somalia
katika medani za Kimataifa na za Kikanda kila alipopata nafasi hiyo. PICHA NA
IKULU
No comments:
Post a Comment