Friday, June 1, 2012

Yaliojiri katika Mkutano wa LVEMP Bukoba leo

 Wanawake wanaweza, huyu ni Naibu Meya wa Manispaa ya Musoma Mkoani Mara, Bi. Angela Derick akitoa shukrani kwa mgeni rasmi hayumo pichani, baada ya kufungua semina elekezi ya uhifadhi wa mazingira ya Ziwa Victoria awamu ya pili kwa viongozi wakuu wa halmashauri na Manispaa zilizo ndani ya bonde la ziwa Victoria inayofanyika katika ukumbi wa Kolping mjini Bukoba
 Wajumbe wa mkutano huo wa bonde la Ziwa victoria wakiwa katika picha ya pamoja.
 Wajumbe akiwa ndani wakisiliza mada mbali mbali zilizokuwa zikiwasilishwa na watoa mada kuitoka Wizarani.
 Semina inaendelea wajumbe wakiwa makini kusikiliza semina elekezi ya kuokoa ziwa Victoria.

No comments:

Post a Comment