Pata habari moto moto kila siku, kwa
Mawasiliano zaidi piga Simu Na. 0755 856991/ 0712 992434
Email:-theonestinajuma@yahoo.com/rorya.09@gmail.com
Thursday, June 28, 2012
Tukiwa likizo tunawajibika kuwasaidia wazazi wetu kazi za nyumbani
MTOTO Alinda wanafunzi wa shule ya msingi Tukutuku Wilayani Muleba akiwaongoza wadogo zake kwenda kuchota maji mtoni kwa matumizi ya nyumbani.Kwa kipindi hiki wanafunzi wamefunga shule.
No comments:
Post a Comment