Mumiliki wa blog hii akizungumza na Bw. Ashrafu namna wanavyoendesha mradi wao huo.
Walemavu wa kikundi cha Budap wakiwa katika banda lao la maonesho ya sabasaba yanayoendelea katika Manispaa ya Bukoba katika Jengo la CCM mjini hapa.Kutoka kushoto ni Ashrafu Zacharia pamona na Mwenzake Abdalah wakiwa wanatengeza mapambo mbali mbali.
No comments:
Post a Comment