Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwaangalia na
kuwasikiliza wanafunzi wa Shule ya
Msingi Kambarage, walipokuwa wakijifunza kwa njia Kompyuta wakati alipofika
shuleni hapo leo Juni 15, 2012, kwa ajili ya kuzindua Mradi wa
Kuinua Elimu ya Msingi ijulikanayo kama 'Tz 21 Century Basic Education Program,
mradi uliofadhiliwa
na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID). Kushoto ni Balozi wa
Marekani nchini, Alfonso Lenhardt, (wa
pili kushoto) ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Shukuru Kawambwa,
(kulia) ni Mtaalam wa Mitaala wa Mradi huo, Adrehem Kayombo.
Picha na Muhidin Sufiani-OMR
|
No comments:
Post a Comment