Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA , Mama Salma Kikwete (mwenye miwani ) akibonyeza kitufe wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Matibabu ya Fistula Tanzania Juni 15-2012 jijini Dar es Salaam, wa pili kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya CCBRT Dk. Wilbroud Slaa,(kulia) ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa DSM ambae ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema.(Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO). |
Pata habari moto moto kila siku, kwa Mawasiliano zaidi piga Simu Na. 0755 856991/ 0712 992434 Email:-theonestinajuma@yahoo.com/rorya.09@gmail.com
Friday, June 15, 2012
Mama Kikwete azindua kampeni ya ugonjwa wa Fistula
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment