Friday, February 21, 2014

(NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA)MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013

Wanafunzi 74,324 sawa na asilimia 21.09 wamefaulu katika madaraja ya I -III.

Jumla ya watahiniwa 427,679 waliandikishwa kufanya mtihani ila waliofanikiwa kufanya mtihani ni watahiniwa 404,083.
Jumla ya watahiniwa laki 235,227 sawa na asilimia 58.25 ya waliofanya mtihani wamefaulu.
Wasichana waliofaulu ni laki 106,792 na wavulana waliofaulu ni laki 128,435. 
Wanafunzi 74,324 sawa na asilimia 21.09 wamefaulu katika madaraja ya I -III.
Wavulana waliopata daraja la kwanza (division one) ni 5,030 na wasichana ni 2,549.
Wavulana waliopata daraja la tatu (Division 3) ni 27,904 na wasichana ni 17,113. 
Jumla ya wanafunzi waliopata daraja la 4 (division 4) ni laki 126,828, wasichana wakiwa 62,841 na wavulana 63,987.
Jumla ya wanafunzi laki 151,187 wamepata ’0′ (division ziro) . Wasichana ni 72,237 na wavulana ni 78,950. 
Shule 10 zilizoongoza ni St.Francis Girls, Marian Boys, Feza Girls, Precious Blood, Canossa, Marian Girls, Abbey
Shule kumi zilizoongoza: Anwarite Girls, Rosmini, na DonBosco Seminary
Zilizofanya vibaya: Singisa, Hurui, Barabarani, Nandanga, Vihokoli, Chongoleani, Likawage, Gwandi, Rungwa, Uchindile

ACSEE 2013 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES


KWA KUANGALIA MATOKEO BOFYA HAPA http://www.necta.go.tz/matokeo_html_2013/ACSEE_2013/alevel.htm

Wednesday, February 19, 2014

Maamuzi magumu ya CCM juu ya akina Lowassa

IMG_2949Nape Moses Nnauye Katibuwa Itikadi, Siasa na Uenezi akizungumza na waandishi wa habari leo mchana katika makao makuu ya CCM Lumumba  ofisi ndogo ya chama jijini Dar es salaam kuhusu maamuzi ya vikao vya chama vilivyomalizika mjinDaodoma hivi karibuni.
…………………………………………………………………………………..
Kati ya tarehe 13/02/2014  na tarehe 18/02/2014 kumekuwa na mfululizo wa vikao kadhaa vya Chama kitaifa vilivyoshughulikia suala la maadili ndani ya Chama.
Vikao hivyo ni pamoja na Kamati Ndogo ya Udhibiti tarehe 13-14/02/2014, Tume ya Udhibiti na Nidhamu 18/02/2014 na Kamati Kuu tarehe 18/02/2013.
Waliohojiwa katika mfululizo wa vikao hivi ni wafuatao:-
1.    Ndg. Frederick Sumaye
2.    Ndugu Edward Lowasa
3.    Ndugu Bernard Membe
4.    Ndugu Stephen Wassira
5.    Ndugu January Makamba
6.    Ndugu William Ngeleja
Baada ya kuwahoji ilithibitika kuwa baadhi ya tuhuma dhidi yao ni za kweli na hivyo kupendekeza adhabu.  Mapendekezo hayo yalipelekwa kwenye Tume ya Udhibiti na Nidhamu na hatimaye Kamati Kuu ya CCM ambayo ilitoa adhabu kwa wahusika.
Kwa ujumla waliohojiwa wamethibitika kuwa na makosa yafuatayo:-
1.    Walithibitika kuanza kampeni za kutafuta kuteuliwa kugombea Urais kabla ya wakati kinyume na Kanuni za Uongozi na Maadili za CCM Toleo la Februari 2010, Ibara 6(7)(i).
2.    Wamethibitika kufanya vitendo vinavyokiuka maadili ndani ya Chama na baadhi yao kufanya vitendo vinavyokiuka maadili ndani ya jamii.  Kosa hili nalo ni kwa mujibu wa Kanuni za Uongozi na Maadili za CCM Toleo la Februari 2010, Ibara kadhaa za kanuni hizo.
Kamati Kuu baada ya kuthibitisha makosa hayo imewapa watu wote sita waliohojiwa adhabu ya ONYO KALI na kuwataka wajiepushe na vitendo vinavyokiuka maadili na iwapo wataendelea na vitendo hivyo Chama kitawachukulia hatua kali zaidi.
Tafsiri ya adhabu ya ONYO KALI kwa mujibu wa Kanuni za Uongozi na Maadili za CCM Toleo la Februari 2010, Ibara ya 8(ii) (b) ni:-
“Mwanachama aliyepewa adhabu ya ONYO KALI atakuwa katika hali ya kuchunguzwa kwa muda usiopungua miezi 12, ili kumsaidia katika jitihada zake za kujirekebisha.”
Kamati Kuu imeitaka pia Kamati Ndogo ya Udhibiti kuwachunguza na kuchukua hatua kwa wote waliohusika kwa namna moja au nyingine (mawakala na wapambe) kufanyika kwa vitendo hivyo vilivyovunja Kanuni za Chama.
Aidha, Kamati Kuu imewaonya vikali Viongozi na Watendaji wa Chama na kuwataka kujiepusha kujihusisha na matendo ya wanawania Urais yanayovunja na kukiuka maadili ya Chama, wametakiwa kuzingatia Kanuni na taratibu za Chama.
Imetolewa na:-
 
Nape Moses Nnauye,
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA,
ITIKADI NA UENEZI,
18/02/2014

Tuesday, February 11, 2014

Kwa heri Askofu wetu Mpendwa Jackson Kabuga,alisaini kitabu cha malaika kabla ya kukata roho

 Waumini wa TAG Bukoba Manispaa pamoja na wananchi mbali mbali wakiwa wamepanga mistari kwenda kuaga mwili wa Askofu Mstaafu wa TAG ,Jackson Kabuga
 Hapa mbele ya kanisa la TAG Hamugembe kila mtu akiwa anatafakari lake
 Katikati ni Mchungaji Vicent Chacha akiwa katika tafakari na baadhi ya wachungaji wenzake baada ya kutoa heshima zao za mwisho
 Watu wakiwa wamepanga mstari kwa lengo la kutoa heshima zao za mwisho kwa mpendwa wao Askofu Kabuga
Wengine wakiwa ndani wanakaribia kuaga mwili huo
 Wanakwaya wa TAG Hamugembe wakiwa wanaimba kwa huzuni wakati wa kuagwa kwa mwili wa Askofu wao Kabuga
Kijana wa Askofu Kabuga, Bw. Christopher akitoa heshima zake za mwisho
Msafara wa magari yakitoka kanisani hapo yakielekea kwake marehemu Kagondo
 
 Safari kuelelea Kagondo
 Jeneza lililobeba mwili wa Askofu Kabuga likiwa linaondolewa kanisani TAG Hamugembe kwa lengo la kupelekwa kwake Kagondo kwenye nyumba yake ya milele.
 Hapa kila mtu alikuwa na kazi yake maalum, angalia mwenyewe
 mama mzazi wa Askofu huyo aliyeshika tama akiwa pamoja na mjane wa Askofu Kabuga tayari kuelekea Kagondo kupumzisha mwili wa mpendwa wao
 Sasa pamoja ni kaburini
 Binti wa Askofu Kabuga ambaye jina lake halikupatikana mara moja alianguka ndani ya kanisa wakati akitoa heshima za mwisho mwili wa baba yake, akiwa anasaidiwa.


 Mama wa Askofu Kabuga akitoka kutoa haeshima za mwisho kwa mwanaye
 Baadhi ya waumini wa TAG wakiwa wamejawa na huzuni mara baada ya kutoa heshima zao za mwisho
Ndugu yangu usafiri nao ulikuwa tete kila mmoja alitaka kuopanda hili lori lililokuwa limebeba wapuliza tarumbeta

Askofu wa TAG Kagera, Jackson James Kabuga alivyozikwa

Sehemu ya umati wa waumini pamoja na wananchi mbali mbali waliofika kanisani hapo kutoa heshima zao za mwisho
Sehemu ya baadhi ya wachungaji mbali mbali kutoka dini za kikrsito
Vijana wa Askofu Kabuga wakiwa katika tafakari nzito baada ya kuondokewa na baba yao
Askofu Mkuu wa TAG nchini, Dkt. Barnabas Mtokambali akitoa heshima za mwisho mwili wa Askofu Kabuga

Mwili wa Askofu Jackson Kabuga

Majina ya Wabunge wa katiba hadharani

TAASISI ZISIZOKUWA ZA KISERIKALI- (WAJUMBE 20)

TANZANIA BARA (13)

1.     Magdalena Rwebangira
2.        Kingunge Ngombale Mwiru
3.     Asha D. Mtwangi
4.        Maria Sarungi Tsehai
5.     Paul Kimiti
6.        Valerie N. Msoka
7.     Fortunate Moses Kabeja
8.        Sixtus Raphael Mapunda
9.     Elizabeth Maro Minde
10.   Happiness Samson Sengi
11. Evod Herman Mmanda
12.   Godfrey Simbeye
13. Mary Paul Daffa
TANZANIA ZANZIBAR (7)
1.     Idrissa Kitwana Mustafa
2.          Siti Abbas Ali
3.     Abdalla Abass Omar
4.          Salama Aboud Talib
5.     Juma Bakari Alawi
6.          Salma Hamoud Said
7.     Adila Hilali Vuai
TAASISI ZA KIDINI- (WAJUMBE 20)
TANZANIA BARA (13)
1.   Tamrina Manzi
2.        Olive Damian Luwena
3.   Shamim Khan
4.        Mchg. Ernest Kadiva
5.   Sheikh Hamid Masoud Jongo
6.        Askofu Mkuu (Mstaafu) Donald Leo Mtetemela
7.   Magdalena Songora
8.        Hamisi Ally Togwa
9.   Askofu Amos J. Muhagachi
10.   Easter Msambazi
11.                                                           Mussa Yusuf Kundecha
12.   Respa Adam Miguma
13.                                                           Prof. Costa Ricky Mahalu
TANZANIA ZANZIBAR (7)
1.     Sheikh Thabit Nouman Jongo
2.     Suzana Peter Kunambi
3.     Sheikh Nassoro Mohammed Ibrahimu
4.     Fatma Mohammed Hassan
5.     Louis Majaliwa
6.     Yasmin Yusufali E. H alloo
7.     Thuwein Issa Thuwein


VYAMA VYOTE VYA SIASA
VYENYE USAJILI WA KUDUMU – (WAJUMBE 42)
TANZANIA BARA (28)
1.        Hashim Rungwe Spunda
2.           Thomas Magnus Mgoli
3.        Rashid Hashim Mtuta
4.           Shamsa Mwangunga
5.        Yusuf  S. Manyanga
6.           Christopher Mtikila
7.        Bertha Ng’angompata
8.           Suzan Marwa
9.        Dominick Abraham Lyamchai
10.      Mbwana Salum Kibanda
11.   Peter Kuga Mziray
12.      Isaac Manjoba Cheyo
13.   Dr. Emmanuel John Makaidi
14.      Prof. Ibrahim Haruna Lipumba
15.   Modesta Kizito Ponera
16.      Prof. Abdallah Safari
17.   Salumu Seleman Ally
18.      James Kabalo Mapalala
19.   Mary Oswald Mpangala
20.      Mwaka Lameck Mgimwa
21.   Nancy  S. Mrikaria
22.      Nakazael Lukio Tenga
23.   Fahmi Nasoro Dovutwa
24.      Costantine  Benjamini Akitanda
25.   Mary Moses Daudi
26.      Magdalena Likwina
27.   John Dustan Lifa Chipaka
28.      Rashid Mohamed Ligania Rai
TANZANIA ZANZIBAR (14)
1.     Ally Omar Juma
2.     Vuai Ali Vuai
3.     Mwanaidi Othman Twahir
4.     Jamila Abeid Saleh
5.     Mwanamrisho Juma Ahmed
6.     Juma Hamis Faki
7.     Tatu Mabrouk Haji
8.     Fat –Hiya Zahran Salum
9.     Hussein Juma
10.     Zeudi Mvano Abdullahi
11.     Juma Ally Khatibu
12.     Haji Ambar Khamis
13.     Khadija Abdallah Ahmed
14.     Rashid Yussuf Mchenga


TAASISI ZA ELIMU- (WAJUMBE 20)
TANZANIA BARA
1.     Dr. Suzan Kolimba
2.     Prof. Esther Daniel Mwaikambo
3.     Dr. Natujwa Mvungi
4.     Prof. Romuald Haule
5.     Dr. Domitila A.R. Bashemera
6.     Dr. Jasmine Bendantunguka Tiisekwa
7.     Prof. Bernadeta Kilian
8.     Teddy Ladislaus Patrick
9.     Dr. Francis Michael
10.    Prof. Remmy J. Assey
11.               Dr. Tulia Ackson
12.               Dr. Ave Maria Emilius Semakafu
13.               Hamza Mustafa Njozi
TANZANIA ZANZIBAR (7)
1.     Makame Omar Makame
2.     Fatma Hamid Saleh
3.     Dr. Aley Soud Nassor
4.     Layla Ali Salum
5.     Dkt. Mwinyi Talib Haji
6.     Zeyana Mohamed Haji
7.     Ali Ahmed Uki
WATU WENYE ULEMAVU-(WAJUMBE 20)
TANZANIA BARA (13)
1.        Zuhura Musa Lusonge
2.     Frederick Msigala
3.        Amon Anastaz Mpanju
4.     Bure Zahran
5.        Edith Aron Dosha
6.     Vincent Venance Mzena
7.        Shida Salum Mohamed
8.     Dr. Henry Mwizengwa Nyamubi.
9.        Elias Msiba Masamaki
10.                   Faustina Jonathan Urassa
11.   Doroth Stephano Malelela
12.                   John Josephat Ndumbaro
13.   Ernest Njama Kimaya
TANZANIA ZANZIBAR (7)
1.     Haidar Hashim Madeweyya
2.     Alli Omar Makame
3.     Adil Mohammed Ali
4.     Mwandawa Khamis Mohammed
5.     Salim Abdalla Salim
6.     Salma Haji Saadat
7.     Mwantatu Mbarak Khamis
VYAMA VYA WAFANYAKAZI-(WAJUMBE 19)
TANZANIA BARA (13)
1.     Honorata Chitanda
2.     Dr. Angelika Semike
3.     Ezekiah Tom Oluoch
4.     Adelgunda Michael Mgaya
5.     Dotto M. Biteko
6.     Mary Gaspar Makondo
7.     Halfani Shabani Muhogo
8.     Yusufu Omari Singo
9.     Joyce Mwasha
10.                   Amina Mweta
11.                   Mbaraka Hussein Igangula
12.                   Aina Shadrack Massawe
13.                   Lucas Charles Malunde
TANZANIA ZANZIBAR (6)
1.   Khamis Mwinyi Mohamed
2. Jina Hassan Silima
3.   Makame Launi Makame
4. Asmahany Juma Ali
5.   Mwatoum Khamis Othman
6. Rihi Haji Ali
VYAMA VINAVYOWAKILISHAWAFUGAJI-(WAJUMBE 10)
TANZANIA BARA (7)
1.     William Tate Olenasha
2.     Makeresia Pawa
3.     Mabagda Gesura Mwataghu
4.     Doreen Maro
5.     Magret Nyaga
6.     Hamis Mnondwa
7.     Ester Milimba Juma
TANZANIA ZANZIBAR (3)
1.     Said Abdalla Bakari
2.     Mashavu Yahya
3.     Zubeir Sufiani Mkanga
VYAMA VINAVYOWAKILISHAWAVUVI –(WAJUMBE 10)
TANZANIA BARA (7)
1.     Hawa A. Mchafu
2.     Rebecca Masato
3.     Thomas Juma Minyaro
4.     Timtoza Bagambise
5.     Tedy Malulu
6.     Rebecca Bugingo
7.     Omary S. Husseni
TANZANIA ZANZIBAR (3)
1.     Waziri Rajab
2.     Issa Ameir Suleiman
3.     Mohamed Abdallah Ahmed


VYAMA VYAWAKULIMA-(WAJUMBE 20)
TANZANIA BARA (13)
1.     Agatha  Harun Senyagwa
2.     Veronica Sophu
3.     Shaban Suleman Muyombo
4.     Catherine Gabriel Sisuti
5.     Hamisi Hassani Dambaya
6.     Suzy Samson Laizer
7.     Dr. Maselle Zingura Maziku
8.     Abdallah Mashausi
9.     Hadijah Milawo Kondo
10.                                                   Rehema Madusa
11.                  Reuben R. Matango
12.                                                   Happy Suma
13.                  Zainab Bakari Dihenga
TANZANIA ZANZIBAR (7)
1.     Saleh Moh’d Saleh
2.     Biubwa Yahya Othman
3.     Khamis Mohammed Salum
4.     Khadija Nassor Abdi
5.     Fatma Haji Khamis
6.     Asha Makungu Othman
7.     Asya Filfil Thani
WATU WENYE MALENGO YANAYOFANANA – (WAJUMBE 20)
TANZANIA BARA (14)
1.        Dr. Christina Mnzava
2.     Paulo Christian Makonda
3.        Jesca Msambatavangu
4.     Julius Mtatiro
5.        Katherin Saruni
6.     Abdallah Majura Bulembo
7.        Hemedi Abdallah Panzi
8.     Dr. Zainab Amir Gama
9.        Hassan Mohamed Wakasuvi
10.               Paulynus Raymond Mtendah
11.   Almasi Athuman Maige
12.               Pamela Simon Massay
13.   Kajubi Diocres Mukajangwa
14.               Kadari Singo
TANZANIA ZANZIBAR (6)
1.     Yussuf Omar Chunda
2.     Fatma Mussa Juma
3.     Prof. Abdul Sheriff
4.     Amina Abdulkadir Ali
5.     Shaka Hamdu Shaka
6.     Rehema Said Shamte