Saturday, June 23, 2012

Mwanza Veteran yaichabanga Bukoba Veteran 1-0

Wachezaji wa timu ya Mwanza Veteran.
Picha ya pamoja wachezaji wa Mwanza Veteran na Bukoba Veteran,katikati anaonekana Fumo Felician
 Mgeni rasmi Kanali Fabian Massawe ambaye ni  Mkuu wa Mkoa akisalimiana na kaka Naphodha wa Bukoba Veteran


Kushoto ni Hussein Said na  Sadi Iddy .

Mapema ulitangulia mchezo wa Netball kati ya Mwanza na Bukoba  na Timu ya mwanza kuibuka kidedea kwa magoli 11-10.

No comments:

Post a Comment