Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
inapenda kuwajulisha wanafunzi wote waliohitimu vyuo vya afya nchini mwezi
Machi 2012, kufika Wizarani ili waweze kuchukua barua za kupangiwa vituo vya
kazi kabla ya tarehe 30 June,2012.
Pia waombaji wengine waangalie
majina yao kwenye website ya Wizara www.moh.go.tz
Imetolewa na:
Regina L. Kikuli
Kaimu Katibu Mkuu
21/06/2012
Samahan mbona majina mengine wanayosema siyaoni kwenye website yao?
ReplyDelete