Mkuu wa mkoa
wa Tabora Mhe.Fatma Mwassa amezindua Tamasha la ngoma za utamaduni la kila mwaka
liitwalo Mtemi Milambo jana tarehe
1/6/2012 katika uwanja wa shule ya Uyui mkoani Tabora.
Pichani katikati
ni Mkuu wa mkoa wa Tabora akirusha upinde ishara ya uzinduzi wa Tamasha
hilo,pembeni yake kushoto ni Bwana.Amon Mkoga Mkurugenzi Mtendaji wa Chief
Promotions ambao ndiyo waandaaji wa Tamasha hilo.
No comments:
Post a Comment