Thursday, June 21, 2012

Ajali ya roli la mizigo mtaani kwetu leo jioni

Askari wa barabarani nao walipata kazi ngumu kidogo kupanga mabari namna ya kupisha katika mlima huo wa nyangoye  kama anavyoonekana pichani askari huyu
 
 Hapa lori hiyo ikiwa imeziba barabara kuu iendanyo nchi jirani ya Uganda ambapo magari yalilazimika kupita kwa kujibana bana ili kuendelea na safari.

No comments:

Post a Comment