Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo
amewaapisha mabalozi wapya kumi ambao wataongoza idara na kurugenzi mbalimbali
katika Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Pichani Rais akiwa
katika picha ya pamoja na Mabalozi wapya aliowaapisha ikulu jijini Dar es Salaam
leo asubuhi.Kutoka kushoto walisimama mstari wa mbele ni Balozi Bertha Semu
Somi,Balozi Hassan Simba Yahya, Balozi Vincent Joel Thomas Kibwana,Balozi Naimi
Sweetie Hamza Aziz,Balozi Irene Mkwawa Kasyanju na Balozi Dora Mmari
Msechu.Waliosimama nyuma kutoka kushoto ni Balozi Silima Kombo Haji,Balozi
Celestine Joseph Mushy, Balozi Mbelwa Brighton Kairuki na Balozi Ramadhan
Muombwa Haji(picha na Freddy Maro) |
No comments:
Post a Comment