Mkuu wa Bandari ya Bukoba, Bw. Ernest Nyambo akipata baadhi ya maswali kutoka kwa timu ya uratibu wa mradi wa mkutano wa LVEMP walipotembelea bandarini hapo leo |
Haba timu ya uratibu wa miradi kuwakisiliza kwa makini nahodha msaidizi wa meli ya Mv. Victoria hayumo pichani, kulia kama kawa ni Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Rorya, kati kati ni mjumbe kutoka wilaya ya Tarime, Bi. Nancy Msafiri na kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Tarime Bw. Mintago.
No comments:
Post a Comment