Washiriki wa
shindano la Redds Miss Mara 2012 wakiwa katika picha ya pamoja katika ufukwe wa
Ziwa Victoria, mkoani Mara baada ya mazoezi yao jana. Warembo hao wanataraji
kupanda jukwaani Ijumaa, Juni 29, 2012 kuchuana vikali kuwania taji la mkoa wa
mara na tiketiketi ya Kushiriki shindano la Redds Kanda ya Ziwa. (Picha na
Mpigapicha wetu). |
No comments:
Post a Comment