Timu ya waratibu wa mradi wa hifadhi ya mazingira ya Ziwa awamu ya pili wakiangalia shughuli za bandari ya Bukoba inavyoendeshwa.Hili eneo la gati linakotia nanga meli ya Mv.Victoria inayofanya safari zake kati ya mwanza, Kemondo na Bukoba.
Afisa utumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Rorya upande wa kushoto, Bw. Sebastian Masanja akiwa na baadhi ya wajumbe kutoka mkoa wa Mara kulia ni Mwenyekiti wa halmshauri ya wilaya ya Tarime.
Mwanamke huyu anaonekana kumshawishi Naibu Meya wa Manispaa ya Musoma kuingia melini kujumuika na wenzake kuangalia uendeshaji wa meli hiyo ilivyo, lakini kutokana na woga wake anaokena kugeuza kwa woga.Naibu Meya huyo alikataa kata kata kupanda ndani ya meli hiyo, kwa madai kuwa hawezi na anaogopa.
Hapa wajumbe hao wakiwa ndani ya bandari ya Bukoba
Mhh mchumia juani hulia kivulini huyu kijana nimmoja wa kuli wanaopatikana katika bandari ya Bukoba, hapa anapandika mzigo wa parachichi ndani ya meli ya Mv. Vioctoria yatari kwa kusafirisha kwenda jijini Mwanza.
Usiogope nakushika mkono halafu unanifuatia kwa nyuma ili uqeze kuingia ndani ya meli, nyuma ni Naibu Meya wa Manispaa ya Musoma, Bi. Angela Derick
Hili ni mmoja ya ghala ambaloi linatarajiwa kuvunjwa na uongozi wa bandari ya Bukoba kwa lengo la kujenga bandari la kisasa.
No comments:
Post a Comment