Waziri
wa kilimo chakula na ushirika Mhe. Chiristopher Chiza.akitoa hotuba yake katika
maonyesho ya zao la mpunga yaliofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja leo
jijini Dar es salaam, ambapo amesema uzalishaji bado unakabiliwa na changamoto
mbalimbali zikiwemo,Uzalishaji na upatikanaji mdogo wa mbegu za mpunga na
teknolojia bora uhifadhi na ufungashaji (Grading and packaging)(wa kwanza kulia)
Naibu meya wa manispaa ya Ilala Kheri Kessy.na wakwanza kushoto mkurungenzi
msaidizi idara ya kilimo chakula na ushirika Bw.Dr Hussien Mansoor.
Mhe;
Chiristopher Chiza mbele akiangalia ubora wa mbengu za mpunga alipotembelea
mabanda (katikati) ni Naibu meya wa mansipaa ya ilala Kheri Kessy,(na
kulia)mkurugenzi wa masoko na usambazaji wakala wa mbegu za kilimo wa Taifa
(ASA)Bw;Philemon Kawamala.
Kikundi
cha ngoma kijulikanacho kama Makirikiri Tanzania kilikuwa kikitoa burudani
wakati wa maonyesho ya zao la mpunga leo katika viwanja vya mnazi mmoja jijini
Dar es salaam.
Mhe.
Waziri bChiristopher Chiza (wapili kulia)akisikiliza kwa umakini maelezo kutoka
kwa mkufunzi wa zana za kilimo za kulimia zao la mpunga Bw.Omari Issa
Waziri Chiristopher Chiza
katikati, Naibu )Meya wa mansipaa ya Ilala Kheri Kessy, wa pili kutoka kustoto
na mkurungenzi msaidizi Idara ya Kilimo Chakula na Ushirika Dr Hussien Mansoor
wakielea kutembelea mabanda ya wadau wa za mpunga,
No comments:
Post a Comment