Jukwaa la viwanja vya mashujaa ilivyofanyiwa ukarabati na uongozi wa Manispaa ya Bukoba
Wafuasi wa CCM waliohudhuria kwenye viwanja vya Mashujaa kumsikiliza Mbunge wa Jimbo la Bukoba mjini hayuko pichani.
Mheshimiwa tuko tayari kukusilikiliza.
Hata watoto nao hawakuwa nyuma kuhudhuria kwenye mkutano huo kama wanavyoonekana wakiwa wamekaa mbele.
Sehemu ya makada wa CCM waliohudhuria kwenye mkutano huo.
Sehemu hii huwa wanasimama baadhi ya walinda usalama kutoka polisi na ndani ya CCM, pichani wakiwa katika mavazi tofauti tofauti.
No comments:
Post a Comment