Mbunge wa jimbo la Ubungo John
Mnyika akitoka nje ya viwanja vya Bunge la Tanzania jana mjini
Dodoma baada ya kukataa kufuta kauli ya kumdhalilisha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kuwa dhaifu. Mbunge huyo alitoa kauli hiyo wakati
akichangia Bajeti ya serikali ya mwaka 2012/13 katika mkutano
unaoendelea.Picha na Tiganya Vincent-
MAELEZO- Dodoma |
No comments:
Post a Comment