Monday, June 18, 2012

Walimu wahamasishwa kujiandaa kugoma

 Bukoba
Waalimu katika Mkoa wa Kagera wamehamasishwa kujiandaa kugoma kutokana na serikali kukataa kuwatekelezea mahitaji yao.
kwa mujibu wa katibu wa wa Chama cha walimu,Mkoa Kagera, Dauda Bilikesi  kwa sasa wako katika mipango kambambe ya kuwahamasisha walimu kugoma.
Bw. Bilikesi alisema hayo leo wakati akifungua mkutano wa chama cha walimu hao ngazi ya mkoa unaofanyika mjini hapa.

No comments:

Post a Comment