Monday, June 18, 2012

Umiseta katika shule za sekondari za Bukoba Mjini kuanza kutimua vumbi kesho Kaitaba

Mwandishi Wetu, Bukoba
Mchezo kwa shule ya sekondari katika Manispaa ya Bukoba inatarajwia kuanza kutimua vumbi katika uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.
Kwa mujibu wa mratibu wa mashindano hayo maarufu kama Umiseta Bw.Gerald Sasi kata tano tayari zimeshathibitisha kushiriki.
Michezo zinazotarajiwa kushindaniwa ni pamoja na taaluma, mpira wa miguu kwa wanaume na wanawake, mbio na mpira wa pete.
Baadaye mashindano hayo kimkoa yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi katika halamshauri ya Bukoba kutokana kuwa na viwanja vinvgi vya mchezo tofauti na Manispaa ya Bukoba.
Mashindano hayo ya Umiseta yanatarajiwa kuanza kutimbua fumbi wiki hii wilayani humo na kushirikisha wilaya zote za mkoa Kagera.

No comments:

Post a Comment