Wananchi hao
wakiwemo waTanzania walikusanyika katika viwanja vya Down Town Washington DC
siku ya Jumamosi June,2,2012 katika kuitikia wito wa kuunga mkono wanawake ambao
wanakabiliwa na ugonjwa wa saratani ya maziwa, utafiti na elimu dhidi ya ugonjwa
huo
Rais wa
Jumuia ya waTanzania DMV Mh. Iddi Sandaly, wakwanza kushoto, Waheeda Margaret
Gathesha, Chief wa swahilivilla Abou Shatry, Aunt Rehema, pamoja na Salma Jay
Jay pia alikuwepo katika matembezi ya kupigana na ujongwa wa saratani ya maziwa
hapa Washington DC.
Wazawa wa kitanzania wanaoishi
nchini marekani wakiwa katika matembezi ya kupiga vita ogonjwa wa saratani ya
maziwa mapema leo jumamosi June,4,2011 ndani ya washington D.C nchini
marekani.
Kina
dada wakiwa katika matembezi ya kupiga vita ogonjwa wa saratani ya maziwa siku
ya Jumamosi June,2,2012 ndani ya washington D.C nchini Marekani.
Warembo
wa kiTanzania wakiwa mstari wa mbele katika mpango mzima wa kutimiza mwindo wa
mile tatu
Mamia
ya watu kutoka sehemu mbali mbali waliungana kwa pamoja katika zoezi hilo
la kuunga mkono wanawake ambao wanakabiliwa na ugonjwa wa Saratani ya
maziwa.
Mamia
ya wananchi wakiwa katika matembezi ya Susan G.Komen. 2012! Down Town
Washington DC
Timu ya Tanzania baada ya kumaliza matembezi ya Susan G.Komen. dhidi ya kupiga vita
maradhi ya Saratani ya maziwa. (Picha maelezo na swahilivilla.blogspot.com)
No comments:
Post a Comment