Miss Elidas Ella Chirwa
(22)
Miss Elidas Ella Chirwa
(22)
Mrembo atakayeiwakilisha Nchi ya Malawi katika
mashindano ya Miss East Africa 2012 ametangazwa rasmi baada ya kuwashinda
wenzake 39 waliojitokeza kutaka kuiwakilisha Malawi katika
mashindano hayo.
Mrembo huyo ni Miss Elidas Ella Chirwa (22) mwenye urefu
wa 1.82m ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo kikuu cha Malawi
Fainali za mashindano ya Miss East Africa 2012
zitafanjika tarehe 07 September mwaka huu jijini Dar es salaam ambapo
zitashirikisha Nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Somalia,
Djibouti, Eritrea, Sudan, Ethiopia, Malawi, Madagascar, Reunion, Comoros,
Seychelles, na Mauritius.
Mashindano ya Miss East Africa yanaandaliwa na
kumilikiwa na kampuni ya Rena Events Ltd ya jijini Dar es salaa.
No comments:
Post a Comment