Mzee Ali Hassan Mwinyi akizungumza na kutoa nasaha zake katika utozji wa tuzo hizo. |
Mkurugenzi wa Mawasiliano Kampuni ya bia ya Serengeti SBL Teddy Mapunda akitoa shukurani zake mara baada ya kukamilika kwa utoaji wa tuzo hiyo usiku wa kuamkia leo. |
Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Zanzibar ZBC Omar Said Ameir akikabidhi tuzo ya mchezaji bora wa Tanzania katika soka Agrey Morris katika hafla hiyo. |
Mchezaji wa zamani wa timu ya Coast Union ya Tanga na Timu ya taifa Salim Amir akikabidhi tuzo kwa mchezaji Shomari Kapombe |
Mpiga picha wa siku nyingi Athmani Hamisi akikabidhi tuzo kwa mchezaji bora wa kiume katika mchezo wa VoliboMbwana Ally huku akisaidiwa na msaidizi wake |
Mwenyekiti wa kamati ya Tuzo za TASWA Masoud Saanani akizungumza katika hafla ya utoaji wa tuzo hizo usiku huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee. |
Mkurugenzi wa
kampuni ya bia ya Serengeti Bw. Richard Wells akizungumza katika hafla ya utoaji
wa tuzo za mwanamichezo bora wa Tanzania. |
No comments:
Post a Comment