Tuesday, May 1, 2012

Matokeo ya kidato cha sita 2012 yatangazwa.


 
Katibu Mtendaji wa Baraza la mtihani wa Taifa, Dkt. Joyce Ndalichako, leo ametangaza matokeo ya kidato cha sita uliofanyika nchini kote Februari mwaka huu, ambapo shule ilioongoza ni St. Marian  Girls ya mkoani Pwani, Bagamoyo, na Feza Boys' ya Dar Es Salaam.
Kwa matokeo zaidi bofya hapa.www.necta.go.tz
Taarifa hii ni kwa hisani ya Baraza la Mtihani wa Taifa (NECTA)

No comments:

Post a Comment