Wednesday, May 2, 2012

Tumefundwa na tumepikika haswa!

Waandishi wa habari wanachama wa Kagera Press Club (KPC) wanaohudhuria katika mafunzo ya siku tatu juu ya masuala ya rushwa wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu waWilaya ya Bukoba,Bw. Samuel Kamote aliyefunga tai, Kamanda wa TAKUKURU Mkoa Kagera, Bi. Domina Mukama, wa pili  kutoka kulia na anayemfuatia ni Afisa wa Takukuru Makao Makuu, Bi. Doreen Kapwani, kutoka kushoto ni mkufunzi wa semina hiyo, Bw. Fili Karashani na anayemfuata ni Mwenyekiti wa KPC, Bw. John Rwekanika.

No comments:

Post a Comment