Thursday, May 31, 2012

Jengo la Kanisa Katoliki ambalo mwili wa Kadinali Rugambwa unatarajiwa kupumzishwa milele






HILI ni  Jengo la Kanisa kuu  Katoliki  Jimbo la Bukoba Mkoani Kagera ambalo mwili wa Marehemu Kardinali  wa kwanza Mwafrika, Laurean  Rugambwa  unatarajiwa kuzikwa rasmi Oktoba 6 mwaka huu.Mazishi hayo yanatarajiwa kufanyika baada ya jengo hili lenye mnara mrefu huenda kuliko majengo ya kanisa hilo katika ukanda wa Afrika Mashariki baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa ambao umegharimu mamlioni ya fedha..

No comments:

Post a Comment