Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma
hotuba yake wakati akifunga rasmi Mafunzo ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa
Mikoa na Wakuu wa Wilaya wa Tanzania Bara, yaliyomalizika mjini Dodoma jana Mei
30, 2012.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia)
akiteta jambo na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakati alipofika katika Ukumbi wa
Mtakatifu Gaspar mjini Dodoma jana Mei 30, kufunga rasmi Mafunzo ya Wakuu wa
Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wa Tanzania Bara,
yaliyomalizika mjini Dodoma jana.
Baadhi wa
Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wa Tanzania Bara,
waliohudhuria mafunzo hayo wakimsikiliza kwa makini mgeni rasmi Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akisoma
hotuba yake ya kufunga mafunzo hayo jana Mei 30, 2012 mjini Dodoma. (Picha na
Muhidin Sufiani-OMR).
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia)
akiteta jambo na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakati akiondoka katika Ukumbi wa
Mtakatifu Gaspar mjini Dodoma jana Mei 30, baada ya kufunga rasmi Mafunzo ya
Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wa Tanzania Bara,
yaliyomalizika mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment