Warembo
watakaopanda jukwani kushiriki katika shindano la kumtafuta Miss Mtwara 2012
siku ya jumamosi juni 2 katika ukumbi wa Makonde Beach mjini
Mtwara, ambapo wamekuwa wakiendelea na mazoezi katika ukumbi huo kujiweka tayari
kwa ajili ya shindano hilo.
Warembo
watakaopanda jukwani kumtafuta Miss Mtwara 2012 Wakimsikiliza mkufunzi wao
Isabela mpada (MISS RUVUMA 2006) siku ya jumamosi Juni2 katika ukumbi wa makonde
beach
Warembo
watakaopanda jukwani kumtafuta Miss Mtwara 2012 Wakimsikiliza mkufunzi wao
Isabela mpada (MISS RUVUMA 2006),Pamoja na muandaaji wa shindano Rajab Mchatta.
siku ya jumamosi Juni 2 katika ukumbi wa makonde beach
No comments:
Post a Comment