Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa 47
wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) leo mjini Arusha .
Rais wa
Serikali ya Jamhuri ya Ivory Cost Dr. Alassane Ouattara (kushoto) akibadilishana
mawazo na Rais wa wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dr.Donald
Kaberuka(kulia) wakati wa sherehe za ufunguzi wa mkutano wa 47 wa
mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) jana mjini Arusha .
Rais wa
wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dr.Donald Kaberuka akihutubia wakati wa
sherehe za ufunguzi wa mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika (AfDB) jana mjini Arusha .
Rais wa
Serikali ya Jamhuri ya Ivory Cost Dr. Alassane Ouattara akihutubia wakati wa
sherehe za ufunguzi wa mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika (AfDB) jana mjini Arusha .
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto)
akipongezwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) Dr. Donald Kaberuka
(kulia) mara baada ya kumaliza kutoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano
wa 47 wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) jana mjini Arusha .
Katikati ni Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Ivory Cost Dr. Alassane
Ouattara.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa
47 wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) wakifuatilia kwa makini
hotuba ya Rais Kikwete wakati wa ufunguzi wa mkutano huo jana mjini
Arusha.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Jakaya Mrisho Kikwete(kulia) akibadilishana
mawazo na Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa (kushoto) wakati wa
sherehe za ufunguzi wa mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika (AFDB) jana mjini Arusha .
No comments:
Post a Comment