Friday, May 4, 2012

Taswira ya stendi ya mabasi Manispaa ya Bukoba

 
Hivi ndivyo kituo kikuu cha mabasi katika Manispaa ya Bukoba ambayo ni Makao makuu ya mkoa Kagera inavyoonekana.Kweli bado kuna kazi ya ziada kwani katika kituo hiki cha mabasi hakuna sehemu ambapo abiria wanapumzikia wala sehemu ya kukinga mvua inaponyesha kama ilivyo kwa kipindi hiki cha mvua abiria huteseka kutafuta maeneo ya kujinga mvua, ambapo baadhi yao hukinga kwenye ofisi ya mabasi.

No comments:

Post a Comment