Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe,
akiwahutubia wananchi wa jijini Dar es Salaam, waliohudhuria mkutano wa
chama hicho uliofanyika kwenye Viwanja vya Jangwani jijini Dar es
Salaam leo, kuhusu Dira ya Mabadiliko 'Movement For Change'.
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, akitembeza kibakuli kuchangisha fedha za kuendeshea Kampeni hiyo.
Sehemu ya wananchi waliohudhuria mkutano huo.
Kutoka (kushoto) ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, Tundu Lisu na Godbless Lema.
No comments:
Post a Comment