Monday, May 14, 2012

Tanzania nje BBA sasa kubaki watanzamaji na kugawana nchi za kupigia kura

Hakika asiekubali kushindwa si mshindani, tumeshindwa kwa sasa Tanzania kwa mwaka huu tena tumekuwa wakwana kuaga katika mcheo wa BIG BROTHER AFRICA baada ya washiri wetu wa mcheo huo, Hilda na Julio kuondolewa kutokana na kuapata kura chache.
Kwa mantiki hiyo, Tanzania tunakuwa watazamaji na wapiga kura kwa nchi zingine.Inasikitisha kwetu. Mwenyebahati habahatiki.

Here’s how Africa voted this week (13 May 2012) –HildaJulio and Teclar were eliminated.
Here’s who which country voted for:
Angola: Julio
Botswana: Maneta
Ghana: Hilda
Kenya: Maneta
Liberia: Hilda
Malawi: Maneta
Namibia: Maneta
Nigeria: Hilda
South Africa: Maneta
Sierra Leone: Hilda
Tanzania: Hilda
Uganda: Hilda
Zambia: Maneta
Zimbabwe: Maneta
Rest of Africa: Maneta
Total: Hilda = 6; Julio = 1; Maneta = 8; Teclar = 0 (Total: 15 Vote


No comments:

Post a Comment