Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete
akiwasili katika viwanja vya Ikulu asubuhi hii ili kuanza kazi ya kuapisha
mawaziri wapya aliowateua hivi karibuni Fullshangweblog ikiwa katika viwanja vya
Ikulu inashuhudia kuapishwa huku kwa mawaziri na kukuletea moja kwa moja kutoka
viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Katibu Kiongozi Balozi Ombeni
Sefue kabla ya kuanza kwa kuapiswa mawaziri hao.
Dk. Harrison Mwakyembe akila kiapo kuwa waziri wa Uchukuzi mbele ya Rais
Jakaya Kikwete kwenye viwanja vya Iku asubuhi hii.
Shamsi Vuai Nahodha akila kiapo kuwa waziri wa Ulinzi mbele ya Rais Jakaya
Kikwete.
Dk Husein Mwinyi akila kiapo kuwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii mbele ya
Rais Jakaya Kikwete.
Profesa Jumanne Maghembe akisaini kiapo mara baada ya kuapa kuwa waziri
wa maji na umwagiliaji
Hawa Ghasia akila kiapo
Mh. Mathias Chikawe waziri wa Sheria na Katiba.
Mh. George Mkuchika akipongezwa na Rasi mara Baada ya kula kiapo.
No comments:
Post a Comment