Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho
kikwete (kulia) akisalimiana na Waziri wa Uchumi na Fedha wa
Nigeria Dr. Ngozi Okonjo- Iweala(kushoto) jana mkoani Kilimanjaro mara baada ya
kuwasili KIA kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa mwaka wa AFDB mjini
Arusha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Msemaji wa
Wizara ya Fedha Ingiahedi Mduma jana mara baada ya kuwasilia katika uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa KIA tayari kwa ajili ya kufungua mkutano wa mwaka wa AFDB
mjini Arusha.
Baadhi ya viongozi waandamizi wa Mkoa wa Arusha na
Wizara ya Fedha wakiwa katika uwanja wa KIA wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho
Kikwete kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa
AFDB
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho
kikwete akisalimiwa na viongozi mbalimbali waliofika
katika uwanja wa KIA jana kwa ajili ya kumpokea ili
aende mkoani Arusha katika ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa AFDB
mjini Arusha.
No comments:
Post a Comment