Uongozi wa
juu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uzinduzi rasmi watawi
la Chadema Washington Dc kwenye meza ya juu wa kwanza kushoto Libe Mwangombe,
akifatiwa na Mhe. Peter Msigwa, Mwenyekiti wa tawi Mhe. Kalley Pandukizi, Mhe.
Zitto Kabwe, na Mhe. Nassari Joshua, Dogo Janja, mkutano huo ulifanyika kwenye
ukumbi wa Mirage Hall uliopo University Of Bld, Hysattsville, Maryland Nchini
Marekani.f
Mhe. Zitto Kabwe akitoa hutba kuelezea mpango
mzima wa mambo yanavyoendelea nchini Tanzania
Wantazania waishio DMV Nchini Marekani wakiwa
katika uzinduzi wa tawi la chadema Washington Dc
Wantazania waishio DMV
Nchini Marekani wakiwa katika uzinduzi wa tawi la chadema Washington Dc
No comments:
Post a Comment