Aliyewahi kuwa Rais wa Nchini Laberia pichani Bw.Charles Taylor (64) amehukumiwa kifungo cha miaka 50 jela leo hii na mahakama ya kimataifa ya Uhalifu wa Kivita ya mjini The Hague
Katika kesi yake iliyodumu miaka sita, Taylor alipatikana na makosa kumi na moja
ya kufadhili na kusaidia waasi nchini Sierra Leone, ili apate madini ya
almasi.
Bwana Taylor ni kiongozi wa kwanza wa zamani kuhukumiwa na mahakama ya
kimataifa tangu kumalizika kwa vita vya pili.
mwisho.
No comments:
Post a Comment