Pichani
Juu na Chini ni Msanii wa Filamu nchini Elizabeth Michael (Lulu) akifikishwa
Mahakamani juu ya shitaka linalomkabili la Mauaji ya aliyekuwa Msanii mwenza wa
Filamu Steven Kanumba.
Elizabeth
Michael a.k.a LULU akiwa chini ya Ulinzi mkali kuelekea chumba cha
Mahakama.
LULU
akiwa ndani ya Mahakama akisubiri kuanza kusikilizwa kwa kesi yake ambayo
imeahirishwa hadi tarehe 11 June, 2012.
LULU
akitoka Mahakamani.
Add caption |
Basi la
Magereza lililombeba LULU na washitakiwa wengine likiondoka Mahakamani. (Picha
Geofrey Mwakibete MO BLOG).
No comments:
Post a Comment