Na Mwandishi wetu, Arusha
SERIKALI ya
Tanzania imesaini mkataba wa msaada wa euro million 10.
Kiasi hicho sawa na shillingi za
kitanzania billioni 19.9 kutoka serikali ya Finland kwa mwaka wa 2012/2013.
Akisaini mkataba huo waziri wa fedha Dk william Mgimwa amesema
Serikali ya fanland imekuwa na huusiano wa mda mlefu na serikali ya
Tanzania na imeweza kusaidia miradi mbalimbali kwa lengo la kuinua
maisha ya watanzania kuondokana na umasikini.
Amesema miongoni mwa miradi iliyowahi kufadhiliwa na serikali ya Finland ni pamoja na miradi ya kilimo,ambapo mradi huo uligalimu
kiasi cha euro million 9,mradi wa kuboresha upatikani wa umeme pamoja
na mradi wa kuboresha mawasiliano ICT uliogharimu euro million 5 pamoja
na miradi mingine kama mradi wa kufuga nyuki na mradi wa kutunza
misitu uliogharimu euro laki 27,24,300.
Akizungumza na waandishi wa habari mbele ya waziri wa Finland Bi.
Haidi Hautala amesema serikali itahakikisha misaada hii inalenga
sehemu husika ili kuweza kuinua maisha ya watanzania katika maswala ya
kiuchumi.
Amehaidi serikali ya Finland kuwa fedha hizo zitasimamiwa ipasavyo na
kwamba pamoja na chi ya Tanzania kukabiliwa na hali ya umasikini
lakini tadhimini itakuwa inatolewa kwa miladi husika ili pale
patakapohitajika msaada mwingine ulenge katika miradi mingine.

No comments:
Post a Comment