PRESIDENT’S OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
|
ORODHA
YA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI
MAWAZIRI
1. OFISI
YA RAIS
Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Rais (Mahusiano na
Uratibu)
Ndugu
Stephen M. Wasira, Mb.,
Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Rais, (Utawala
Bora)
Ndugu
George Mkuchika, Mb.,
Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Rais (UTUMISHI)
Ndugu
Celina Kombani, Mb.,
2.
OFISI YA MAKAMU WA RAIS
Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Makamu wa Rais (MUUNGANO)
Ndugu
Samia H. Suluhu,
Mb.,
Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA)
Dr.
Terezya P.L. Huvisa, Mb.,
3.
OFISI YA WAZIRI MKUU
Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na
Uwezeshaji)
Ndugu
Mary M. Nagu, Mb.,
Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu
(TAMISEMI)
Ndugu
Hawa Ghasia, Mb.,
Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,
Uratibu na Bunge)
Ndugu
William V. Lukuvi, Mb.,
4.
WIZARA
Waziri wa
Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Ndugu
Samuel J. Sitta, Mb.,
Waziri wa
Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Ndugu
Shamsi Vuai Nahodha,
Mb.,
Waziri wa
Ujenzi
Dr.
John P. Magufuli, Mb.,
Waziri wa Afya
na Ustawi wa Jamii
Dr.
Hussein A.H. Mwinyi, Mb.,
Waziri wa Elimu
na Mafunzo ya Ufundi
Dr.
Shukuru J. Kawambwa, Mb.,
Waziri wa
Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Ndugu
Sophia M. Simba, Mb.,
Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Ndugu
Bernard K. Membe, Mb.,
Waziri wa
Katiba na Sheria
Ndugu
Mathias M. Chikawe, Mb.,
Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi
Ndugu
Emmanuel Nchimbi, Mb.,
Waziri wa
Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Dr.
David M. David, Mb.,
Waziri wa Kazi
na Ajira
Ndugu
Gaudentia M. Kabaka, Mb.,
Waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Prof.
Makame M. Mbarawa, Mb.,
Waziri wa
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Prof.
Anna K. Tibaijuka, Mb.,
Waziri wa
Maji
Prof.
Jumanne
Maghembe, Mb.,
Waziri
asiyekuwa na Wizara Maalum
Prof.
Mark Mwandosya, Mb.,
Waziri
wa Kilimo, Chakula
na Ushirika
Eng.
Christopher Chiza, Mb.,
Waziri wa
Uchukuzi
Dr.
Harrison Mwakyembe, Mb.,
Waziri wa
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Dr.
Fenella E. Mukangara, Mb.,
Waziri wa
Maliasili na Utalii
Ndugu
Khamis Kagasheki, Mb.,
Waziri wa
Viwanda na Biashara
Dr.
Abdallah O. Kigoda, Mb.,
Waziri wa
Fedha
Dr.
William Mgimwa, Mb.,
Waziri wa
Nishati na Madini
Prof.
Sospeter Muhongo, Mb.,
5.
NAIBU MAWAZIRI
OFISI
YA RAIS
HAKUNA NAIBU
WAZIRI
6.
OFISI YA MAKAMU WA RAIS
Naibu Waziri,
Ofisi ya Makamu wa Rais
Ndugu
Charles Kitwanga, Mb.,
7.
OFISI YA WAZIRI MKUU
Naibu Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu
(TAMISEMI)
Ndugu
Majaliwa K. Majaliwa, Mb.,
Naibu Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu
(TAMISEMI)
Ndugu
Aggrey Mwanry, Mb.,
8.
WIZARA MBALIMBALI
Naibu Waziri wa
Kazi na Ajira
Dr.
Makongoro M. Mahanga, Mb.,
Naibu Waziri wa
Kilimo, Chakula na Ushirika
Ndugu
Adam Malima, Mb.,
Naibu Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi
Ndugu
Pereira A. Silima, Mb.,
Naibu Waziri wa
Viwanda na Biashara
Ndugu
Gregory G. Teu, Mb.,
Naibu Waziri wa
Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
Ndugu
Benedict N. Ole-Nangoro, Mb.,
Naibu Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Ndugu
Mahadhi J. Maalim, Mb.,
Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,
Ndugu
Goodluck J. Ole-Medeye, Mb.,
Naibu Waziri wa
Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Ndugu
Ummy A. Mwalimu, Mb.,
Naibu Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Ndugu
Philipo A. Mulugo, Mb.,
Naibu Waziri wa
Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Dr.
Abdulla
Juma Abdulla,
Mb.,
Naibu Waziri wa
Maliasili na Utalii
Ndugu
Lazaro Nyalandu, Mb.,
Naibu Waziri wa
Ujenzi
Ndugu
Gerson Lwenge, Mb.,
Naibu Waziri wa
Afya na Ustawi wa Jamii,
Dr.
Seif Suleiman Rashid, Mb.,
Naibu Waziri wa
Nishati na Madini
Ndugu
George Simbachawene, Mb.,
Naibu Waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
Ndugu
January Makamba, Mb.,
Naibu Waziri wa
Uchukuzi
Dr.
Charles
J. Tizeba, Mb.,
Naibu Waziri wa
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Ndugu
Amos Makala, Mb.,
Naibu Waziri wa
Maji
Eng.
Dr. Binilith
Mahenge, Mb.,
Naibu Waziri
Nishati na Madini
Ndugu
Stephen Maselle, Mb.,
Naibu Waziri wa
Katiba na Sheria
Ndugu
Angela Jasmine Kairuki, Mb.,
Naibu Waziri wa
Fedha
Ndugu
Janet Mbene, Mb.,
Naibu Waziri wa
Fedha
Ndugu
Saada Mkuya Salum, Mb.,
Wataapishwa
Jumatatu tarehe 8 Mei, 2012 saa 5.00 asubuhi katika viwanja vya
Ikulu
Imetolewa
na:
Kurugenzi ya
Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es
Salaam.
4
Mei, 2012
No comments:
Post a Comment