Boban akilia kwa uchungu
Rafiki wa karibu na marehemu ambaye amenusurika kwenye
ajali hiyo (kulia) akilia kwa uchungu.
Boniface Pawasa akiangua kilio huku
akifarijiwa
Baadhi ya mashabiki wa Simba wakiwa Hospitali ya Rufaa
Muhimbili kushuhudia mwili wa Mafisango.
No comments:
Post a Comment