Saturday, May 5, 2012

Siku ya uhuru wa habari ulivyosherekewa Kagera.

 Mkuu wa Mkoa Kagera, Kanali Fabian Massawe akiongoza jukwaa kuu kufungua muziki katika maadhimisho ya siku ya uhuru wa  Habari mkoani Kagera.
 Hapa Mkuu wa Mkoa Kagera, Bw. Massawe wakicheza mduara pamoja na wadau wa habari pamoja na waandishi wa habari.
 Kanali Massawe akitoa hotuba yake katika maashimisho hayo, wa kulia kwake ni Mwenyekiti wa Chama cha waandishi wa habari Kagera (KPC) Bw. John Rwekanika na kushoto kwake ni Mkuu wa wilaya ya Bukoba. Bw. Samuel Kamote
Hapa Kamanda wa TAKUKURU Mkoa Kagera, Bi. Domina Mukama, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Massawe wakiwaongoza wadau kupata chakula.
picha zote na Theonestina Juma.

No comments:

Post a Comment