Thursday, May 3, 2012

Jengo la wakulima Kagera linalogharimu milioni 780

Hili jengo la kitega uchumi cha KCU hadi kukamilika kwake litagharimu kiasi cha sh. milioni 780.
j
 Mkuu wa Mkoa Kagera, Kanali Fabian Massawe akizindua jengo la kitega uchumi cha Chama cha Ushirika Mkoa Kagera (KCU) 1990 Ltd kinachojengwa katika mtaa wa One way mjini Bukoba.Jengo hilo ambalo ni ghorofa tatu linagharimu zaidi ya sh. milioni 740 katika ujenzi wake.
Mkuu wa Mkoa Kagera,Kanali Massawe akihutubia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa KCU  hawako pichani wa kulia kwake ni Mwenyekiti wa KCU, Bw. Binunshu ambaye ameweza kutetea nafasi yake hiyo, baada ya kupita bila kupingwa.(Picha zote na Afisa Habari wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera, Bw. Sylvester Raphael)

No comments:

Post a Comment