Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano wa Mkuu wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa
Benki ya Africa afDB katika ukumbi wa AICC jijini Arusha leo Mei 31. 2012
PICHA NA
IKULU
Rais
Kikwete akiwa na Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara, Rais Mstaafu wa Botswana
Mh Festus Moghae, Rais wa Benki ya Africa Dkt Donald Kaberuka, Mshauri wa Mfalme
wa Morroco Bw Omar Kabbaj (kushoto) , Waziri wa Fedha Dkt (wa pili kuhsoto) muda
mfupi kabla ya kuzindua mkutano Mkuu wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya
Afruka katika ukumbi wa AICC jijini Arusha leo Mei 31, 2012
Ukumbi wa AICC wakati wa Rais Jakaya Kikwete alipkuwa akifungua Mkutano wa Mkuu wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Africa afDB katika ukumbi wa AICC jijini Arusha leo Mei 31. 20 |
Rais
Kikwete akiwa na Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara, Rais Mstaafu wa Botswana
Mh Festus Moghae, Rais wa Benki ya Africa Dkt Donald Kaberuka, Mshauri wa Mfalme
wa Morroco Bw Omar Kabbaj (kushoto) , Waziri wa Fedha Dkt William Mgimwa (wa
pili kuhsoto) katika picha ya pamoja na Marais wastaafu wa Benki ya Afrika.
No comments:
Post a Comment