Monday, December 24, 2012

Waimbishaji hatari wa Kapotive kwaya

Hawa ndiyo waanzishaji  nyimbo wa Kapotive Star Singars ambao ambao walionesha kama kivutio kikubwa katika sherehe hizo, kutoka kushoto ni Bw. Denis, anayemfuatia ni Bi. Sarah, kulia mwenye tai nyekundi Bi. Stella Kagya
Hapa wanashambulia jukwaa, aisee we acha tu, ilikuwa burudani ile mbaya

No comments:

Post a Comment