Mbunge Viti Maalum CCM,Bernedetha Mshashu akiwapatia zawadi ya vifaa vya kwa watoto yatima wanaotoka katika kata ya Katoma |
Mlemavu wa kutambaa akifurahia kitenge alichpewa zawadi na Mbunge Mshashu
Hapa Bi. Mshashu akimfunika kwa kitenge mlemavu wa viungo Bi.Rahima Rarmu
mtoto Diana Festo (13) aliyefaulu kwenda sekondari ya Katoma akifurahia zawadi alipewa na Mbunge.Mtoto Diana alipata ajali ya kugongwa na gari mwaka 2006 akiwa darasa la kwanza na kupata ulemavu wa maisha.
Bi Mshashu akisalimia na Mwenyeiti wa chama cha walemavu viziwi Bi. Judidh Kashulija, chama hicho kilialikwa na Mbunge katika kusherekea siku ya X-mas iliofanyika nyumbani kwake.
Sehemu ya walemavu Viziwi waliohudhuria kwenye sherehe hizo huyo aliyebeba mtoto ni Bi. Delphina Juston akiwa amebeba mwanae Alistidia Ajuna Jovinus aliyevaa baluzi nyeupe ni Jovitha Jonathan katibu wa chama cha wanawake Viziwi Kagera
Watoto wakiserebuka
Walemavu Viziwi nao hawakuwa nyuma kuburudisha na nyimbo za ngoma za kienyeji |
Hapa wanawake viziwi wakijitambulisha
Kati kati ni Mbunge Viti maalum, Bi. Mshashu na upande wake wa kushoto ni mumewe, Bw. Mshashu
Ilifika muda wa shanpein, aliyeoongoza zoezi hilo ni Bi. Anna
Kikundi cha Ubunifu cha Katoma kinachofadhiliwa na Mbunge huyo kikitoa burudani
Hawa ni watoto ndugu walipewa vifaa vya shule.watoto hawa ni yatima , kutoka kulia ni kaka yao mkubwa mabinti hawa, Muctary Amari (12), anayemfuatia ni Nairath Amari (10), wapili kutoka kushoto ni Isha Amari (9) na wa kushoto ni Sawia Amari (8) |
No comments:
Post a Comment