Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Padri Ambros Mkenda wa
Kanisa Katoliki la Mpendae mjini Zanzibar anayeuguza majeraha katika taasisi ya
mifupa ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Moi) jijijini Dar es salaam leo
Jumamosi Dsemba 29, 2012 kufuatia kupigwa risasi sehemu za mdomoni na watu
wasiojulikana mapema wiki hii wakati akisubiri kufunguliwa geti la nyumbani
kwake maeneo Kitomondo Mjini Zanzibar akiwa ndani ya gari aliyokuwa akiendesha
akiwa pekee yake. Rais Kikwete amempa Padri Mkenda pole nyingi na kumuombea
apate nafuu haraka.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Padri Ambros Mkenda wa
Kanisa Katoliki la Mpendae mjini Zanzibar anayeuguza majeraha katika taasisi ya
mifupa ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Moi) jijijini Dar es salaam leo
Jumamosi Dsemba 29, 2012 kukupigwa risasi sehemu za mdomoni na watu
wasiojulikana mapema wiki hii wakati akisubiri kufunguliwa geti la nyumbani
kwake maeneo Kitomondo Mjini Zanzibar akiwa ndani ya gari aliyokuwa akiendesha
akiwa pekee yake. Rais Kikwete amempa Padri Mkenda pole nyingi na kumuombea
apate nafuu haraka.
PICHA NA
IKULU
No comments:
Post a Comment