Rais Jakaya Mrisho
Kikwete na viongozi wa TANAPA Jumapili Desemba 22, 2012 wakielekea kwenye
sehemu ya boma maalumu la kulea na kuhifadhi mbwa mwitu muda mfupi kabla
ya kuachiwa huru kundi la pili la wanyama hao 15 waliokuwa wamehifadhiwa kwa
miezi kadhaa kwenye boma maalumu la mradi huo, lililojengwa katika eneo la
Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, mkoani Mara.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete na viongozi wa TANAPA Jumapili Desemba 22, 2012 akikata utepe katika
boma maalumu la kulea na kuhifadhi mbwa mwitu kuashiria rasmi kuachiwa huru
kundi la pili la wanyama hao 15 waliokuwa wamehifadhiwa kwa miezi kadhaa kwenye
boma maalumu la mradi huo, lililojengwa katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa
Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, mkoani Mara.
Mbwa mwitu wakirejea
mbugani baada ya kuachiwa huru kundi la pili la wanyama hao 15 waliokuwa
wamehifadhiwa kwa miezi kadhaa kwenye boma maalumu la mradi huo, lililojengwa
katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, mkoani
Mara.
No comments:
Post a Comment